Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 1, 2014

DOBOLILOOOO.........

 Niliwambia mwanangu mie ana kipaji cha riadha........... ana medali ya Gold mjue ,yaani mshindi wa kwanza kwa wasichana!!!!! ndani ya wiki hiyo hiyo nimeletewa na hiyo certificate!!!! yaani tupogo kote kote!!!!! NIMRUDISHIE NINI HUYU MUNGU WANGU JAMANIIIIII!!!!! Kweli naringaje mwenzenu halafu unajua nini????? hiki kichwa cha Mama mtu yaani huwa hatuaminiki kama tunaweza........ kwa nini nasema hivyo niliosoma nao watanielewa hapa........  sio hao tu hata ndugu zangu wanafamilia wanalielewa hili........ Nilikuja kuaminiwa too late  aiseeeee,baada yakuwasuprise mara kibao Kwi! kwi! kwi! lakini pia ilinisaidia mnooo ..............  ndivyo ilivyo kwa Mwanangu hata Mama yake sometimes huwa namawazo nae Ha! ha! ha! ......................ni  full fujo fujo fulani.......mpaka huwa namuonea huruma na mwalimu wake darasani, Mwalimu wake huwa anasema she is born to be a leader ( tunaliweka mikononi mwa Bwana maana yeye ndie ajuaye) halafu  akiletaga hizo fujo zake , mtu anambie hako katabia kako weeee, ntakavyombadilikia sasa......  Muulizeni Baba wawili na Mama yenu alivyokuja huku ugomvi wake si mdogo kwi! kwi! kwi!

Tunaamini Mungu wetu ataendelea kututetea maana huu ni mwanzo ( TUTAKUWA VICHWA NA WALA SIO MKIA)

OUR WINNERS............ Washindi wa kwanza wa kike na wakiume hao katikati wenye medali ya gold Careen na Mwenzie hao wapembeni washindi wa pili
These two have been very good friends tangu  Careen ana 7months & Declan was 4months( tulivyofika tuu huku)

Careen with friends

SIFA NA UTUKUFU ZIMRUDIE MUNGU WETU MAANA BILA YEYE HAMNA KITU.......

No comments:

Post a Comment