Pages

Ads 468x60px

Saturday, January 18, 2014

SUNDAY LOOK.....


Niende wapi mie kama sio hemani mwa Bwana?????
 ni choice tuu wapo waliochagua kuamka na hang over, wapo waliochagua kuisahau kabisa siku kama ya leo unaweza ukamkuta mtu anauliza hivi leo juma ngapi viloe??? lakini ju8matatu mpaka ijumaa anaikumbuka ni siku ya kwenda kazini na  wengine wanaitambua na kuipuuzi kwani hawaoni umuhimu na wengine siku kama hii ni siku wasio taka kuikumbuka kabisa kwa walijeruhiwa mpaka wamefikia kuona wote tuwanafiki mbele za Mungu....................

ngoja nikwambie mwisho wa siku hesabu ni yako wewe na kile unachoamini,na kile unachokifanya ukiona hakikupi amani wala furaha zaidi yakuigiza ni muda  wa kujitambua , hujachelewa bado.... tulikuwepo huko na sisi Ahsante kwa ajili ya NEEMA ya ukombozi aiseee ..............yaani kama nakuona  rafiki ulivyovuta limdomo maana huamini kama inawezekana kwa sababu ya UGUMU WA MIOYO YETU......Alijisemea na YESU ( Musa aliruhusu taraka klwa sababu ya mioyo yenu migumu lakini tangu hapo Mwanzo........................marko 10:5........) yanayofuata ni akili mkichwa tusikariri sanaaa..... na hivyo ndivyo ilivyo katika kufanya maamuzi
Tafakari ujuwe mamlaka na uweza ulio ndani yako katu usikubali kuburuzwa.
Happy sunday wandugu

2 comments:

  1. ha ha ha ha ha " kama unaniona nilivyovuta mdomo " that made me laugh bt its true though, have a nice Sunday n stay blessed!!

    PS: you look amaizing!

    ReplyDelete
  2. umependeza sana mama wawili

    ReplyDelete