Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 22, 2014

MTU CHAKE BWANA.....,.......

Wandugu mwenzenu nimekaa kwenye kajisehemu kangu kakupumzikia all i can see in front of me ni Baba watoto busy  busy tuuu nikajikuta nimetumbukia kwenye dimbwi la mawazo mnooo, nimewaza nakuwazua mara nikajikuta nimeingia ndani nakuanza kumpiga picha nipate kumbukumbu kwi! kwi! kwi! all i can say i thank God kwa kumfanya huu mwanaume kuwa ubavu wangu.................. AM BLESSED!!! sio kwamba tunaishi kama malaika   hakuna purukushani zipo sana tuu ila tunamshukuru Mungu tunajua  kuzimaliza na kusahau..................... nimeona nishare japo kwa Picha tuu 

 I love this Man here aiseeeee!!!! 

 perfect for Mama wawili



 Yote hiyo ilikuwa to make his kids happy...............

7 comments:

  1. Nijambo jema na la kumshukuru Mungu mana wengine wanatamani hivyo na hawapati. Hongera sana

    ReplyDelete
  2. Hongera, ni jambo la kumshukuru sana mungu.pray for us pia da rose mungu atukumbuke one day tuje kuchekelea na familiya zetu na waume zetu na mibaraka ya watoto.

    ReplyDelete
  3. Anakijua anachokifanya Hapo...au tu ilimradi kafanya alichoambiwa afanye...hahaha..so funny......life bwana...?

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha.......!!!mdau hapo 8:44 am umenichekesha sana,uwii mbavu zangu mie,inamaana yeye bila kuambiwa always huwa hajui anachotakiwa kukifanya?Heh
    makubwa bila undersupervision kumbe hamnazoo pole we....

    ReplyDelete
  5. nasikitika nimewajibu kumbe ni wajinga nyieee??? duuu!!! kweli nimepoteza nguvu zangu nimejionaje mjinga sasa kudeal na zezeta ninalolijua??? halafu wengine mnajijua full matatizo mbona mnanitafutia kesi wandugu??? kweli nilishindwa kuvuta kumbukumbu kwa sababu nilishawadelete kwenye ulimwengu wangu...... poor me!!!!!

    ReplyDelete
  6. Rose hachana nao hao WAJINGA hiyo yote ni wivu maskini,ukiwa na blog expect kukutana na madudu kama hayo,wewe endelea kula life na familia yako.

    ReplyDelete
  7. Wivu unawasumbua hao da rose...endelea mbele na Mungu aibariki familia yako

    ReplyDelete