Pages

Ads 468x60px

Sunday, January 26, 2014

AM BLESSED

 Wandugu nimerudi nitokako mpango ulikuwa   kupost muonekano kama muonevyo........
  herself


  sasa katika kuingia humu nikakutana na pumba za mwanamke asiyejielewa kabisa maishani mwake ikabidi nitoe na picha zifuatavyo
Hivi ni mwanamke gani asiyeweza kumshukuru Mungu kwa ajili ya familia yake hasa anapoona yanayofanyika kwenye familia kama si neema za Mungu asingaliweza???????

Mwanamke gani mpumbavu asiyefurahia kuona Mumewe ni kichwa cha familia anayejali na kuthamini familia yake?????

Mwanamke gani asiyependa kupendwa????? tutakupeleka milembe sio bure.....






  khaa!!! sa nyingine kweli inatubidi tucheke tuu maana tunakuonea huruma povu linavyokutoka huko gizani uliko


Naomba niongee sasa baada ya taarifa.

Mwanamke mwenzako tukusaidiaje sijui, maana naamini kwa mpango huu hata kale kaelimu kachekechekea mwalimu wako alisalimu amri, maana una akili mgando!!!! ulijanzwa mimaagano tangu utotoni tunajitahidi kukusaidia hata upate ukombozi bado hujielewi, tunakupa na mistari ya biblia basi ukasome mwenyewe kichwa kigumu huwezi kujiongeza, haya basi tumekupa hata exposure basi  kakuingia kwenye mitandao ujue wanawake wenzako wanafanya nini? wanawaza nini ufunguke bado unajifungia minyororo namakufuri ya chuma, maisha yako  yamejaa hasi......hutaki kuachilia chuki  na makunyanzi ya wivu ndo chakula chako, tumesema na wewe kiupole na hekima   mwanamke bado umejaa kichefuchefu cha labour...................... haya basi tumeshindwa sie  sasa hautuhusu tumeamua kukupotezea, basi sasa fanya kama na sisi hatukuhusu, najiuliza  hivi umekutana na mama wawili,hivi hayo maneno yako yakimkuta mwanadam aliyekata tamaa ambaye anahitaji mtu kumuinua hivi wewe siutammaliza kabisa??? wewe umekubali haiwezekani sawa we si mjinga basi acha wenzio tunaoamini inawezekana tusonge mbele .................na tunasonga mbele kweli we mwenyewe  unakubali kama nakuona unavyosema na giza maana hujui mwanga.(MWANAMKE  MCHAWI NA AFE) sio mimi ni maandiko, simuonee huruma hata kidogo maana ni bora hilo kuliko zile roho zitakazo anguka kwa ajili yako. Mwanamke usiependa mwenzako afanikiwe, ainuliwe kila siku unatafuta baya mazuri huyaoni???? na hata ukiyaona mazuri lazima uzilinganishe na imani zako mara mwanga, nimekuona kwenye paa sasa siunitungue basi kama umeniona  na wewe mjanja wakuona??? au umepewa uwezo wakuona kwa macho tuu huku mimi naendelea kukukandamiza kwi! kwi! kwi!unasubiri nini au nimekuzidi????? utasubiri sana na hivyo nimejaliwa likitanda likubwaaaa halafu nikamalizia na neno NITALALA KAMA MTOTO MCHANGA WALA HAKUNA CHAKUNITISHA............... weweeeee!! hapana chezea mwana ya mfalme... utasubiri sana mbona....... yaani na unabahati mimi ningekuwa wewe ndo nakuona hivyo huo usiku utanisomea kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo,utaimba nyimbo za mwimbieni Bwana kuanzia wa kwanza mpaka mwisho tunamaliza na sala ya Toba kwa lazima.

 kiukweli huwa naumia sana na watu wenye roho zakukatisha tamaa. wewe ukalilishwa kuwa ndoa ni jehanamu la moto na umebaki hapo unaugulia basi acha wenzio tunaotiana moyo ndoa ni full upendo na amani  na inawezekana kuwa hivyo pamoja na  misukosuko ambayo ipo kila kona kwenye biashara, makazini lakini bado tunafocus..................

namalizia kwa kusema wanawake hebu tuombeane wandugu kwenye ndoa zetu, malalamiko, wivu na maneno yakukatisha tamaa hayatusaidii. hebu umia basi kama we ndoa yako niyamaumivu basi usiruhusu na mwingine  na mwingine apitie tambua lile kosa na elimisha mwanamke mwenzio ili asipitie hapo. na uonapo wanandoa wamefunikwa na upendo hebu saidia kumshukuru Mungu kwa ajili yao eti na muombe Mungu awazidishie huku na wewe ukiweka hitaji lako kupitia hilo. MWANAMKE MPUMBAVU HUBOMOA NDOA KWA MIKONO YAKE MWENYEWE. 

 kilio changu huyu mwanamke wa dizaini hii akikutana na mwanamke anayehitaji msaada wa kuinuliwa itakuwaje??? kama anaweza kuniandikia mimi ambaye anajua kabisa ntakacho kifanya ni kum SCROLL,SELECT,DELETE  hii ndo kanuni yangu kubwa yakuishi na watu wasiojielewa. sasa kwa hao ambao wahitaji ITAKUWAJEEEEE??????

 jana nilialikwa  sehemu fulani  ilikuwa ni wanawake katika kupeana hili na lile hasa kwa habari ya ndoa niliwambia hivi, Ndoa ni serikali ambayo ina idara zake na kamwe usitake kuleta sheria za serikali ya Mugabe  ziwe za Kikwete. kikubwa ni unalipokeaje nakulitatiuaje???????


6 comments:

  1. All I can see ni mafumbo yasioeleweka ukiamua kufunguka unatoa yote halafu nimelearn from u hupendi kukosolewa wewe ndo usifiwe tuuuu as if u ar an angel we don go that way acha kujikweza utaishia kushushwa n unapoamua kuelimisha mtu kuwa na lugha nzuri sasa unalaani unatukana na yet unamtaja Mungu najua na hii utaichukia coz leo sjakusifia

    ReplyDelete
  2. Umependeza sana mama wawili hongera najua litakuwa limempata kweli bac ajitahidi ajirekebishe

    ReplyDelete

  3. Aisee mama wawili umependeza mno cjui nikwambieje ili unielewe...Nimefurahi nilikupa ushauri wa kujaribu hii style ya nywele na umeijaribu and u look very beautiful.
    Na hiyo nguo imekukaa vizuri yani kila kitu on point.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  4. Madau 8:20 mama wawili kafume sababu sasa wameona haitoshi wameanza kumtukania mumewe. Hata mimi naona sio sawa. Mama we wapoteze.

    ReplyDelete
  5. I am in love with the last pic. lol!

    ReplyDelete
  6. Nakupenda sana Rose will love to ua frnd...i think i have many to learn from u! Ua blessed

    ReplyDelete