Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 8, 2014

KIKAZI ZAIDI

    Haya wandugu baada yakuona mazingira yanayofanania na kazi ya Baba ngoja leo tuone what Mama wawili is doing............. haya ndo mazingira yangu ya kazi kwa sasa,  my office iko humo ndani kwenye mjengo wa blue kwi! kwi! kwi! ukiona nimetupia the look za kiofisi  usidhani uwa naingia kwenye ligorofa fulaaani mweeeee!!!!........ na hapo ujue nina kazi za kiofisi zaidi otherwise  mara nyingi huu ndo muonekano wangu.................. lengo nikuonyesha how you can balance your life style usiogope kufanya umachinga kwa kuhofia michuchumio hauta vaa........ usiangaike sana na investment ambazo zinaweza kukupa heshima mjini lakini KUNA MATESO NDANI YAKE  (kuna mtu ananielewa hapa) unaishi kwa jina lakini  kiukweli hutaki kukubali kwamba unafanya kwa ajili ya  kuonekana.......

mkulima hachagui jembe ila udongo wenye rutuba kwake ndo mpango

kajiboss kanacheki na vijana wake....... for sure i love them  wakomakini we know mda wa kazi ni kazi  na wa story tunasahau who is who

baada yakugundua some one is busy taking photo nikaanza mapozi
herself

hebu niambieni jamani hivi nikitoka hapa kweli nina mda WAKUJUA HABARI YA MTU AMBAYE NI UMIZA KICHWA NDANI YA MAISHA YANGU?????? Mnisamehe wandugu i choose to be happy   na zaidi amani .......simpi nafasi Shetani hata sekunde

10 comments:

  1. heshima yako da Rose!!

    ReplyDelete
  2. Ubarikiwe na uongezewe zaid na zaid

    ReplyDelete
  3. Amen dear. Kila la kheri katika kazi zako.

    ReplyDelete
  4. yani huyu dada nampenda aisee! Napita humu kila siku ila mvivu kuandika. Rose pls bado unapokea barua /email ya how u insipered us since u open this blessed drama free unique blog?one more chance pls. Tukemee pepo la uvivu tuandike kitu

    ReplyDelete
  5. tuma dear ntazikalia weekend hii zote by next week tutajua tufanyaje

    ReplyDelete
    Replies
    1. okay Love i will. Tchao mama two pipo

      Delete
  6. Safi wangu piga kazi!

    ReplyDelete
  7. U inspire me sn dada nataman niwe rafk yako, i have many to learn from u

    ReplyDelete
  8. mbona mimi rafiki yako tayari my dear....... karibu sana

    ReplyDelete
  9. safi sana mdada siku nkija aussie nikutafute?unanibariki sana mpendwa na Mungu azidi kukuinua zaidi na maisha yako ni mazuri wow!!
    mie pendo

    ReplyDelete