Pages

Ads 468x60px

Wednesday, November 27, 2013

RACHEL & WAYNE BIG DAY



They made it..............





yummy..........


heading.........
wenyewe wanasema give away
Yes i do ( in rachel's voice)



haya sasa Rachel kateam muke ya Mzungu.....

green imenogaje sasa


tupogo

Muna this is for you............
Jane,I,Diane & Jesca

yummy Tanzania ladies



with makaka

unadekaje sasa

us

ishara ya upendo


ulichonimaliza biharusi ni hichi wewe sio wa maneno neno mengi nivitendo tuu!!!!unamwaga makisi mwanzo mwisho...............

ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAM HAWEZI KUKITENGUA.

KARIBU SAAANA KWENYE ULIMWENGU WA NDOA,MUNGU NDO KASHAKUPA MAMII KAZI KWAKO  USIRUHUSU HATA UFA UKAPENYEZA, UKAJUE MIPAKA YA NDOA YAKO NAKUITUMIA SAWA SAWA, UKAFANYIKE KUWA MWANAMKE MWENYE BUSARA NA HEKIMA. UKATAMBUE KUWA NDOA NI YAKO NA HAIFANANISHWI NA MWINGINE ZAIDI YA YOTE UKAFAIDI MATUNDA YA NDOA.

2 comments:

  1. Mumependeza Jmani Hongereni Tanzanian Ladies....One Love

    Chumu

    ReplyDelete
  2. Hongereni nimependa hiyo rangi mmependeza sana Watanzania mwaaah...!

    ReplyDelete