Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 19, 2013

KITENGE

Mama wawili
muke ya Slay
wandugu mkazane kuomba wakinanii wameanza kutuvamia tena sijui wametokea pande ipi wanachafuaje hali ya hewa na comment zao mi nawasoma tuu...............mpaka wataanza kupita kimya kimya kama wale wengine wanaotusubiri tudondoke kwenye mapaa..............mshindweeeeeee!!!!!

5 comments:

  1. Pendeza luv, hahaa hao mbona watasubiri sana. Wameshashindwa hao.

    ReplyDelete
  2. Mamii ni naona SWAGA za kusema "Mama wawili" ",Muke ya Slay" ungezipumzisha kidogo ukatutaftia swaga nyingine. nimaoni tu

    ReplyDelete
  3. Hali ya hewa mnaichafua nyinyi mnaokalia watoto wa Watu usiku wa manane....malaika wa mungu kakukosea ni ni mwanamke wewe....dili na aliyekukosea.....unajibebesha laana ya bure.....looooh....natunasubiri ?mwanachama aliyeenda kuli new arudi ndo anaekupa kiburi cha kuandika eti mkazane kuomba...huna lolote unayajua unayoyafanya.....kwa style Hii unafikiri tutaacha kuandika......

    ReplyDelete
  4. Usijali tupo pamoja kukuombea hao wanaotapatapa achana nao tuwekee mitokoto ya kidish tukuungishe mumy

    ReplyDelete
  5. mdau 1:02 endelea kufunguka basi unaonesha una mengi yakushare na wapendwa Pepitnto...........Mungu anawependa watu kama nyie mnaojua ukweli nakuusimamia.MUNGU AKAANGALIE KWA KINA NA KULICHUNGUZA HILO NA AKALISHUGHULIKIE SAWA SAWA NA HAKI ZAKE.

    ReplyDelete