Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 3, 2013

KIPINDI CHA MPITO

Wandugu msione nimeuramba hivi mwenzenu  nahita maombi ................ nimezoea mapito yakimwili na wanadamu and Yes huko najua kupambana mnoo shetani mwenyewe ameshalijua hilo...... na kwa sababu Mungu ameamua kunipandisha daraja la kiimani ameruhusu hili aisee.....lipo kiroho na deal nawalio kiroho,  naheshimu mno nafasi zao na  neno linasema nisiwaguse........ najikuta nawagusa nakama nikijizuia kuwagusa basi natakiwa nivunje ahadi niliyomuahidi Mungu kwa namna fulani in which is not a solution bado kokote nitakapokwenda nitakutana nalo kwa namna fulani....... nina watu ninaona wanaweza kunisaidia nikiwaface lakini, sitaki kuruhusu ubinadamu uingilie hili, NITAJIBIWA KULINGANA NA JINSI NILIVYOLIFIKISHA..... kumbe naweza nikawa nimekosea kulifikisha kutokana na ile maumivu niliyopata,au jinsi nilivyolichukulia.............. nimeamua kukomaa nakukubali kuwa hakuna aliye mkamilifu  nahitaji namna jinsi yaku fit in bila kumkosea Mungu wangu.........................Huyu Mungu ninaemwabudu wajameni amenitoa kwenye shimo la takataka nakunifanya niwe hivi nilivyo naamini kwa akili zangu sitaweza ila nahitaji neema tuu kujitetea zaidi nipate amani ya maamuzi............................

inbox km unahisi unaguswa kusema chochote au achia comment kama ntahisi haihitajiki kupublish sitopublish lakini ujumbe utakuwa umenipa................... This is very serious wandugu

Twende kazi na Binti wa Yesu
Muke ya Slay

Mama wa Careen & Cristabell
JESUS is the center of  my life...........
dare to be yourself and allow God to minister in your life.........

4 comments:

  1. MKEREKETWA WA FASHIONNovember 3, 2013 at 11:40 PM

    mm ni shabiki namba moja wa blog yako //kila siku wapendeza sana..like leo nimependa ulivyovaa soo nice... BUT.THAT HAIR STYLE ...NO..A BIG NOO. HAIKUKAI PLEASE TRY ANOTHER HAIR STYLE .. KUNA MAWILI INAWEZEKANA HAIKUJAA WAKATI WA KUISHONEA AU HAIKUKUBALI. SO CHOOSE ONE KUIACHA KABISAAA AU KUJAZIA..
    PILI KABLA HUJA WEKA ANYA HAIR STYLE SANA SANA ZINAZOHUSIANA NA KUSHONEA TAFADHALI JARIBU KUVAA WIGI YA HIYO STYLE NDIPO UFANYE MAAAMUZI YA KUISHONEA AU KUICHA .

    OTHER WISE MENGINEYO YAKO SAWA

    ReplyDelete
  2. Naunga na mkereketwa wa fashion shost nenda kajazie hyo weaving au uwe unasuka rasta jaribu rasta km yebo au njia 3 ila weaving big no

    ReplyDelete
  3. Dada,

    Nimekuelewa sana na inawezekana wengine wasikuelewe ila no matter what you are going through, God will make a way for you, he knows what is right for you. Keep close to him. Ask for his guidance and relax, he is in full control!

    Kaka.

    ReplyDelete
  4. Mama wawili - majaribu au mapito yapo ili shetani ajulikane yupo, lakini jambo la kututia moyo zaidi ushindi wa Yesu Msalabani upo ili tujue Yesu ni Mshindi No. 1 aliyetushindia hata kama njia imebana kiasi gani, hata kama wanadamu watakuwa vizuizi kwa njia yeyote waitakayo bado Yesu KRISTO yeye aliye mwanaume wa wanaume ni mshindi na ndiyo dira yetu na mwongozo wetu tumfuate na tumwamini hakuna kulala hapo.

    Kutikiswa ni lazima ili tuingie ngazi nyingine.

    ReplyDelete