Pages

Ads 468x60px

Monday, November 25, 2013

DAY 2

Bado nilikuwepo ...... nasahau kidogo majukumu  kwa muda, ki ukweli nipo busy mpaka najikuta napoteza network kabisa , nakimbizana na Muda lakini mwisho wa siku najikuta naviporo kibao........... hivi ni mimi tuu au na wenzangu mpo hivyo hivyo ......... hasa katika harakati za kutimiza ndoto zetu?????  au mimi ndo nashindwa kujipanga???  mimi huwa nashangaa sana hasa kwa nyie wbeba mabox wenzangu hivi mnawezaje kujipanga kwenda kumtembelea  mtu hadi mara tatu kwa wiki kupiga story tuu hakuna hata kajievent,  hata kampango tuu basi kakuanzisha mradi fulani, au kuzungumzia ka kitu kakimaendeleo fulani.............kama huo ndo urafiki basi mama wawili nimeukosa kabisa muda nilio nao  free asubuhi to jioni ndo kama huu ambao mimi huwa nautumia kifamili zaidi......ni nataratibu kila baada ya miezi miwili mpaka mitatu naenda kujificha au ikitokea sababu kama hii iliyonileta ndo naitumia hasa hata mtu fulani akinituma nimsogezee kijiko najinunisha fulani kwi! kwi! kwi!.......... lakini nikiwa mazingira ya nyumbani kwangu najikuta bado niko full mnoo muda wakuzurura sina ila ninachomshukuru Mungu ni nina watu wananielewa!!!!!!  yaani nina idara zote nikiwa nahitaji mtu wa idara fulani they will always be there for me. inaweza pita miezi hatujaonana lakini tunajua wajibu wetu hasa pale inapobidi...................

wanasema mtoto wa mkulima haachi asili nahisi kuna ukweli ndani yake Muda wote nawaza kulima viazi makete

usishangae hapa nawaza kale kambwa kangu nimekapa chakula kweli maana nisije kosa mlo kesho

myself

napenda kuyaangalia maji ila kuingia ndo ishu hiyo swimming pool  ya nyumbani nahisi haijagusa mwili wangu karibu nusu mwaka sasa ........
 binti wa kimaswitule ( mix ya mkinga, muhehe, mbena na mngoni)    kwa wala mbwa ndo nyumbani............... 

3 comments:

  1. SASA MPENDWA UKINIPA HILI GAUNI SI MUNGU ATAKUBARIKI ZAIDI KMA UNAKARATIBA KAKUWAPA MAYATIMA KILA MWAKA MIE NI MMOJA WA YATIMA NAOMBA GAUNI HILI NIMELIPENDA SANAAAAAAAAA NA HELA YA KUNUNUA KM HILI SINA.

    ReplyDelete
  2. oh kumbe ulikuwa unajibu swali hiii. umependeza kama kawaida yako na zebra yako.

    ReplyDelete
  3. unayemwomba gauni! Kwani lazima ulivae?mbona mie yatima na sina shobo! Em tuliza mama

    ReplyDelete