Pages

Ads 468x60px

Friday, November 29, 2013

DAD & DAUGHTER TIME

Safari haikuwa majini ila wapenda maji utawajua tuuu ........ wakiyaona maji  safari itapewa mapumziko kwa muda mpaka wakayakanyage hili janga tunalo mimi na mwanangu mdogo(Cristabell) mkituona kwenye maji basi tuu tunateam ndugu zetu  ila hawa wenzetu habari ndo hii..........

hao
jibu la mguu wa Careen wangu mshalipata  kila mwezi kiatu kinambana......

wandugu tufikie pahala tumshukuru Mungu kwa vile alivyokuumba maana mweupe anataka kuwa mweusi , mweusi nae ................ haya sasa huyu nae juani kisa anataka kuwa brown

having fun
naona wamelidhika sasa kwakuloweshana  shughuli kwa mama mtu kuanza kubadilisha nguo mwanae kwenye gari.........

1 comments:

  1. dah nilisahauje nikaitafuta weeee blogu yako,leo eti ndo naiona....
    hakuna kitu kizuri sana kama ukaribu wa baba kwa wanawe hasa mtoto wa kike inajenga uthabiti na kujiamini sana kwa mtoto hapo baadae,hii naijua mana na sie tumelelewa kwa mapenzi na ukaribu mkubwa na baba yetu kama watoto wa kike na sasa tuna familia zetu kiukweli Yesu ni mwema tunaishi viuri wala hatuteteleki.

    ReplyDelete