Pages

Ads 468x60px

Wednesday, November 13, 2013

I FEEL SO LOVED.................


Kiukweli Mama wawili am full of love and surprise....  no wonder i dont take notes of haters........ last friday my hubby walk into my closet thinking he might find something new(outfit) for  my birthday dinner which is this weekend........ Tell you what!!!!!! he found nothing!!!!! and that is not his wife......... ananiuliza kulikoni namwambia huwezi amini nimekuwa busy mpaka nimesahau my big day ,namwambia i might go around and see if i can get something or else i will pick anything..............i will do a return ticket one of the weekdays next week go to the city, do your shopping and  have lunch with your city friends (in Baba wawili Voice)........ really i thought was a joke.................
See this...
arriving @Perth airport


Avis walinifaa kuniazima Gari yakuzungukia mjini
shopping time...... one had to go from this Brand
one had to go too


hii ndopa haikuwa kwenye budget lakini uvumilivu ulinishinda wandugu halafu nikasahau kupiga na picha nimepiga hapa nakuwarushia kwi! kwi! kwi! ignore jeans hiyo niko kikazi

with my fine ladies  lunching
Sarah,Esther  and I

Neema,Esther & Sarah

Venue



nimemaliza kilichonileta  @ the airport miss my wawili.......

Ahsate my Baba watoto Najivunia kuwa ubavu wako,Mungu azidi kututetea na kutupigania all i can say sio kwamba tunazo zinamwagika no! no! no! najua vitu vingapi vingeweza kufanyika kutumia garama hizi na hata muda  uliotumika, lakini hujataka kuangalia uhalisia wa Maisha bali kuifanya siku ya mkeo..........  binafsi hii kitu nimeichukulia tofauti mnoo na imenileta kwenye maana kubwa sana ndani ya maisha yangu.Sina cha kumrudishia Huyu Mungu kwa ajili yako Mume wangu Kipenzi............................Mimi si zaidi hata nikastahili bali ni Neema ya Mungu .

STAY TUNE FOR MY BIG DAY....

4 comments:

  1. It feels so good to be loved!! Happy belated birthday girl, hope you had a lot of fun.

    ReplyDelete
  2. mama Engineerrr,mama esther pendeza sana..TEAm SHaaaban Robert Secondary School; na UDSM

    ReplyDelete
  3. Anony November 16,2013 at 2:47AM thanks nlikua najiuliza huyu dada nimewai kumwona wapi kumbe Shaaban Robert..

    Back to mama wawili.. Hongera sana mama and many returns of the day.

    ReplyDelete