Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 24, 2013

NIMEJIFICHA.............

Habari wandugu, kumekuwa kimya kidogo nilikuwa mafichoni kidogo, nimewamiss nitarusha kwa kiasi yaliyojili,ila kikubwa Namshukuru mungu mnoo................ ananitetea na kunipa kibari pasipo kuelezeka, ameulinda mguu wangu popote nilipo ingia nakutoka,amani anayonipa inanipa ujasiri mkubwa, hakuna ubishi kwamba katika kila lililo jema shetani nae huwa amejiandaa Habari njema ni kwamba, WANA WA SIMBA WA YUDA TUNASHINDA NA ZAIDI YAKUSHINDA.................

I was here.......
the view from my room

na wawili walikuwepo wale chumbani mwao choka mbaya after a long drive

Karibu tena unitembelee

3 comments:

  1. shoga angu kwani we mtanzania nanikabila gani minatamani kujua hilo tu maana nakuona kama mkenya hivi

    ReplyDelete
  2. we mdau kwani wakenya ni paka?af tz yetu haina ukabila..em jipange kidogo

    ReplyDelete