Pages

Ads 468x60px

Sunday, December 1, 2013

SUNDAY LOOK

Wandugu  napenda shughuli nikimaanisha makutano iwe ni birthday party,wedding, ball party,yaani chochote kinachoniruhusu niurambe nakujisahaulisha majukumu kwa Muda lakini huko kote hakunaga kinachonipa amani kama kuwa inthe house of GOD!!!!! Kiukweli sijui kwa nini watu tunaipa hii nafasi ya mwisho kati ya yote............. NAHISI TUNAHITAJI KUZUNGUMZIA HILI........


Najikutaga nipo fresh mnooo..........

nahisi nahitaji kufunguka kidogo japo nafasi yamadhabahu sio karama yangu

Muke ya slay  nimesimamia mguu mmoja mazoezi nayo wito.
mbarikiwe wandugu

1 comments: