Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 29, 2014

WAJAMENI ETI HII NINI???????

Au mimi ndo sielewi??? Hivi ndivyo tunavyopeleka wanetu wakajifunze??? aiseee sitaki kuamini huyu ni Mwalimu ninayemlipa anifundishie Mwanangu nakumwamini nikijua mwanangu yuko kwenye mikono salama...................I dont care its a public school or Private aiseeee nakulipa kwa kulipa kodi.Nimeumia sana aiseee ... yaani nimekumbuka kipindi fulani nilivyokuwa nawaacha wanangu kwa watu nilikuwa nawaamini  mi naenda kwenye mabin ,kusafisha vyoo na kulea wazee nilivyokuwa napata tabu kumuomba Mungu anisaidie nitoke kwenye hio biashara yakuwacha wanangu kwa watu na zaidi nilikuwa na nitizamia umri wa kwenda shule ufike maana huko ndo ntakuwa naamani zaidi. Kwa mpango huu mbona kama mwalimu ndo huyu!!!!!! NEEMA YA MUNGU ITUTETEE KWA KWELI......... maana duniani hakuna kimbilio ...........ninavyomwamini Mwalimu  mbona hapa nimeishiwa sasa.please tell me this is not a teacher anayewachezesha.Huyu binti hata miaka kumi amefika kweli???? mmmhhhh!!!Naamini huyu mtoto labda amejifunza kwenye mazingira anayoishi lakini sikutegemea kumuona mwalimu akifurahia hili.Aiseee kama ni kawida basi mimi mwenzenu wazamani sana aiseee yaani hapa huyu mwalimu angenieleza hiyo hadhi ya kuitwa mwalimu ilikuwaje.

3 comments:

  1. YANI MPAKA NAONA AIBU KUINGALIA HII VIDEO NA WAZAZI WANAENDA KUWATUNZA WATOTO YESUUUU

    ReplyDelete
  2. yesu na maria ninini iki eti

    ReplyDelete
  3. Da rose m cjakuelewa hapo unapomlaum mwalim kafanya nn hao watoto hayo mambo wanajifunza majumban, na hao waloenda kutunza ni wazaz sasa hapo wa kulaumiwa ni nani, mm binafs sijaona kosa la mwalim.

    ReplyDelete