Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 15, 2014

MAMA WAWILI

 Nyie niwaambieni kitu??? Ukiona akili yako imefika mwisho, hasa kwa habari ya mambo ya mwili, Ujue huo ni wakati wa kuyatafuta zaidi ya rohoni bila manung'uniko, Kiwango chako chakuutafuta uso wa Bwana kiongezeke  zaidi ruhusu utendaji wa Bwana. Maombi yako yawe yakubariki zaidi bila kulaani.Kama hunielewi soma  (LUKA 5:33-39). Tambua wakati.........Wakati kama huu jaribu kutoruhusu chozi likachukua nafasi kubwa zaidi...... jua kupambana. Jaribu kusoma na kusimamia  maandiko yanayofanania na unalopitia,zaidi chukua ule ujasiri na  kujivika ushindi wa watumishi waliopitia hilo............... HAKUNA JARIBU LISILO NA MLANGO
Niko kibusara zaidi ndo maana nimekaa.........
kuna mtu angenuna ujue nisingesimama???? haya basi

Nawapenda 



8 comments:

  1. That waist tho. Unapendeza mama wawili, hii njumbe yaleo umetumwa?? Nauliza tena umetumwa ilu uniletee?? Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  2. Daah umependezaje sasa shost!! Makopa tele toka kwangu mamii.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. Rangi hiyo mamii naipendaje sasa!!

    Na maneno ulonipa ni maneno mazuri mnno

    Sasa Rose napataje maneno toka bible yanayofanania na ninayopitia?

    ReplyDelete
  4. Yaani am obsessed with this blog! uwiiiii huwa nabarikiwaje!! plz mama wawili jitahidi kua unapost kila siku maana mimi nikikosa post hapa najikuta naperuzi hata za mwaka 2012 ilimradi tu nitii kiu yaangu ya kujifunza na kujikumbusha jambo yaani kwa namna fulani hua unasema na moyo wangu!

    leave that aside umependeza sana, God bless you dear!

    ReplyDelete
  5. NO COMMENT .''DADA ANGU YOUR BLESSED''

    ReplyDelete
  6. umependeza sana mamy

    ReplyDelete
  7. So in love with u now...god is in control dada.u bless me with the words.

    ReplyDelete
  8. I love you sister...this blog blessed me ...

    ReplyDelete