Pages

Ads 468x60px

Thursday, April 3, 2014

MAMA WAWILI

      "There will always be somebody more successful, more        beautiful, more talented. You have to realize, you’re not running their race. You’re running your race."Joel osteen

 Nimekutana nayo hii nimeona niambatanishe tujikumbushe tuu. anyway Napita tuu kuwambia mwenzenu nimebanwaaaaaa................. kama mnavyoona this is my race kwa sasa, am enjoying it, monday to friday Dada yenu nazichanga kihivi, kama siko busy sana na kazi za nje  najoin team..............sijui kwa nini Mungu kaniweka hapa kwa sasa....... lakini nataka kukuhakikishia kwamba utukufu wa pili ni mkuu kuliko wa kwanza. najifunza mengi mnoo, kwa mda mfupi tangu niwe humu akili yangu imepanuka kimawazo sana......... ki kweli you are more than you think wapendwa wangu all you need is to be yourself!!!!!!!!!!!!! na usimlimit Mungu hata kidogo. NA KILA KITU KINA KUJA KWA WAKATI ULIOKUBALIKA........ kwa kifupi niliwahi kuwa afisa masoko, niliwahi lea wazee, niliwahi kuwa mfagizi, niliwahi kuwa mtuza vitabu msaidizi, niliwahi kuwa kwenye kautawala kidogo, niliwahi kuwa machinga, niliwahi kuwa mapokezi,na leo naosha magari huku nikijishughulikia tuvitabu vyangu mwenyewe  kwenye Biashara zetu wenyewe........... aiseeeeeee!!!!! huko kooote nilikuwa namuona Mungu kwa namna ya pekee mno ila huku niliko sasa Bado namuuliza Mungu mnooooo.kiukweli i never dream this much ila nilikuwa kama naona movie au picha . Hivi umewahi kujiona umefika mwisho kama ni baraka zinakutosha hasa ukiangalia hata hapo tu ulipofika ni NEEMA, then gafla unajiona ndo kwanza unatambaa na kuona mipenyo miingi itakayokusaidia kuona kuna uwezekano mkubwa wa wewe kutembea na kukimbia sio kwa kiwango kile ulichodhani hapo awali???  

HEBU MWAMINI MUNGU MPENDWA, HEBU AMINI INAWEZEKANA. KATAA HIZO SAUTI ZINAZOKWAMBIA HAIWEZEKANI, FULANI ALISHINDWA YES!!!! SO WHAT???? HAIHUSIANI NA WEWE!!!!! UKITAKA KUJUA LABDA UTAKE KUJIFUNZA KWA NINI ALISHINDWA ILI UJUE UTAJIPANGAJE.( ntakushuhudia hapa one day) JIULIZE KAMA DAUDI ANGESIKILIZA SAUTI ZA NDUGU NA HATA MFALME MWENYEWE si ingekuwa salama ya goliati????? TUNGEMPATA WAPI  SHUJAA WETU DAVID?????? maana hata SAULI alitetemeka!!!! HUHITAJI MISILAA INAYOTENGENEZWA NA WANADAM alijisemea DAUDI WEWE UMENIJIA KWA SILAHA MIMI NINA NENO LA MUNGU TUU...........kajiwe sasa kalivyorushwa Goliati chaliiiiii.
    kuamini na ujasiri wakuthubutu ni silaha kubwa yakumshinda goliati wako wa leo......................................


ndo yule yule Mama wawili wa high heels  akifanya yake
 Muke yake Slay

\mmeona hizo second hand mnazoletewa huko............ Dada yenu nawang'arishiaje??? mnakuja pigwa la uso...........

 vuru vuru hivi ndo ninavyozichanga............. kazi kazi 

 Mwisho wa siku nimesahau kupiga picha kitu kilivyotoka  kipyaaa,kama hujasoma km??? lazima upigwe za uhakika..........kwi! kwi! kwi! nilikuwa busy na mahesabu wandugu ila mtu lazima akapigwe sio chini ya million ishirini ya kibongo.......

 Nawapenda

4 comments:

  1. yani hujui jinsi gani una ni inspire sana na mambo unayoyaongea unanipa nami nisikate tamaa niwaze vitu vikubwa sana kuvifanya ukweli unanibariki sana rose

    ReplyDelete
  2. Mengi uliyoongea yanatia moyo asante kwa kutupa tumaini

    ReplyDelete
  3. Yani huyu Dada jmn hapana. God bless you more My rosislay

    ReplyDelete