Pages

Ads 468x60px

Friday, April 11, 2014

UNAJUA NINI??????


ITS HER BIRTHDAY........................... 4years today wapendwa. niseme nini mimi kwa habari ya uzao wa viuno vyangu?????? 

them 4 different smile means  a lot to me!!!! yaani naijua kila mona wapo inamaanisha nini anapoitoa.My Christabell,Christabell wangu.Mungu akazidi kukutetea ukakue na kuongezeka.Si mimi ,si Baba yako wala Dada yako .Bali ni Mungu akafanyike kuwa kimbilio lako. Tunakupenda sana lakini tunatumika tuu................................
Ahsante MUNGU.

2 comments:

  1. Nyamahemba wankuruApril 11, 2014 at 9:04 AM

    Happy bday toto. Mamdogo from mama's blog love you dearly.

    ReplyDelete
  2. Happy birthday dear hongera kukuza mana wawili

    Mungu akujalie afya na baraka zake

    mdogo kwa mwanangu kwa siku tisa

    ReplyDelete