Pages

Ads 468x60px

Friday, April 11, 2014

AMEZALIWA!!!!!

Mwanaume,Baba,Rafiki amezaliwa!!!!!!!Nitakuwa nimekosa utu kama sitamshukuru mnooo Mama aliyekubari na kutumika miezi tisa kukumleta huyu kiumbe na hata leo ninasema ni zawadi ya upendeleo kwenye maisha yangu...................AHSANTE SANA MAMA MKWE WANGU Mungu azidi kukutetea ili uzidi kushuhudia na kujivunia  kwa kile ulichokubari kutumika............. HE IS A REAL MAN..... HE MIGHT NOT BE PERFECT TO EVERYONE OUT THERE  FOLKS,HE IS PERFECT FOR ME AND HE IS MINE!!!!!!!! Upendo,kujari,uchapakazi,hekima, uwajibikaji,mwanaume anayejitambuana  kujijua yeye ni nani na kujisimamia, Mwanaume anayeweza kudondosha chozi la kiume, kulifuta na kujianda jinsi yakukabiliana  na jambo,Mwanaume anayejua kutumia mamlaka aliyopewa na kuamini inawezekana ZAIDI YA YOTE NI MWANAUME MWENYE HOFU YA MUNGU........
HAPPY BIRTHDAY MY HUSBAND!!!!!!
Hardwork  
A man of future
A husband
BFF FOR LIFE

Dad wa nani na nani huyu.........

A father...........

1 comments:

  1. Happy Birthday mume wetu, I love the way you put his birth story, a father, a hubby, BFF, a hardworker, bado moja a party animal !! hongera sana baba 2

    ReplyDelete