Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 9, 2014

OUT AND ABOUT


 Mpango ulikuwa kwenda dinner, hivyo ndivyo Baba watoto alitakiwa ajue hivyo, nyuma ya pazia nilikuwa tayari nimearrange anniversary package Hotelini, yaani ilikuwa Dinner, kulala body massage na breakfast.  Sasa si lazima niwaage wanangu wajue kabisa leo Mama na Baba hawapo lakini hofu yangu je Hawatamfanya Baba yao ashtukie?? Mida ya mchana Baba hayupo ikabidi niwaite wanangu niwaelezee kidogo nakuwambia nani leo atakuja kulala.. Mida imefika  Babysitter  huyo kaingia SUPRISE DADY AND MUMY ARE GETTING MARRIAGE!!(in Careen Voice huku Christabell anataka kuongezea jambo ) mimi na Babysitter tukabaki tunatoa macho maana siri inaelekea kuvuja tulijitahidi kuwavuruga watoto ndo hata hawatuelewe mwisho wa siku Muhusika alielewa kunakajisuprise ila hakujua kanafananaje.............. Mbaya zaidi mi natatizo moja la siri kwa Baba wawili aisee!!! yaani sijui jamani ntaangaika mpaka ntashtukiwa  so muhusika akajumlisha na jinsi ninavyojistukia baadae akanambia  nilishastukia kabla hata ya watoto, ila nilikuwa sijajua itakuwaje........... 

 vinginevyo tunamshukuru Mungu siku yetu ilienda vizuri mnoo.......... na haya ndo baadhi yamatukio

Mr &  Mrs S. Mbeyela

 spotted

tumefika
Bahati mbaya sana the Moet thing is not for Us........

Sisi hapa
 Wandugu hiyo Moet ilikuwa kwenye package yangu  japokuwa niliwachia hapo hapo ila  nina swali hivi kwa nini hii kitu inaletaga shida sana huko kwenye ma instagram???? inatofauti gani na mbege, ulanzi, safari,........ zote si pombe au mi ndo mshamba???? 

sio mpenzi wa chocolate ila hizi nilizimaliza.....


 Tukala, tukalala,tukaamka,mapemaaa mbio Breakfast kuwahi ibadani nilipofika ibadani  sasa kuna maswali niliulizwa sikuwa na jibu na  labda sikuelewa vizuri TUTAZUNGUMZA......

 Nawapenda

No comments:

Post a Comment