Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 1, 2014

NIMEKUTANA NAYO..............


 Wandugu mwisho wa mwezi na mwanzo wa mwezi Mama wawili  busy kukusanya mahela  as you know paper work mwenyewe jembe mwenyewe  hapewi mtu hela za bure. ila ndo kuchokaje sasa mpaka nije kukumbuka kublog hoi..............Halafu nyie Deni ni deni tuu wandugu........yaani napataje tabu sasa kudai kuna wale wateja wangu nikipeleka invoice tu no longolongo hata haangalii ilikuwaje moja kwa moja kwenye Total nakukuandikia cheque. kuna wengine sijui ndo kujisahaulisha  au ndo polojo tu yaani, hawa wengi wao wakudai kwa simu ni macompany makubwa yako mine site ila hao waliopo kwenye ofice ya account sasa mweeeee najielezaje?????? mpaka basi....... mbona nakingereza chakiofisi ntakijua mwaka huu mkinga mimi!!!!

 haya nimekutana nayo hii Tegemea sana kuniona kihivi kuanzia sasa maana huku kwetu baridi ndo ishaanza na nilivyomuoga wa baridi.
kipindi kama hichi mwaka jana

1 comments:

  1. umependeza sana!
    speaking of madeni, nishiida! hasa ukiwa unamdai mtu mzima ambae kakuzidi umri,na wewe hutaki biashara izolote ,inahitaji hekima aisee maana unakuta wengi hua wanajisahaulisha makusudically lol! imenikuta sana katika kazi zangu! na mara nyingi imeniletea uhasama kujengwa juu yangu hasa kutoka kwa mdaiwa! yaani ni shidaa!

    Mama C

    ReplyDelete