Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 23, 2014

MAMA WAWILI...............


 Siku nyingine, Wakati mwingine, tunazidi kukomaa tuu mpaka kieleweke  si eti wadau wa mimi????
 kama kawa moto wetu INAWEZEKANA!!!! 
  Halafu mwenzenu kuna wakati huwa nanyanyaswa  na wapiga picha  nyie acheni tuu.......... hizi picha mpiga picha alikuwa hajabarikiwa kabisa kunipiga.......... nimemuombaje sasa na kumbembeleza????? mpaka  na mapozi yalikuwa hayakubali. 




 nani kaona pengo na majembe ya Mama wawili??? ni SHIDA!!!


2 comments:

  1. Hahahaha mama wawili umenichekesha eti ni "SHIDAA" lols.
    Mependeza kweli mi napenda hiyo sketi yako pamoja na ile nyekundu yake. Zinakutoa msuper sana dadangu!

    Mdau wa Musoma.

    ReplyDelete