Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 6, 2014

WO! WO! WO! WO!............

THE 6/04/2014 ITS OUR 6TH WEDDING ANNIVERSARY!!!!!!!!

Wandugu weekend yetu tulijisherekesha miaka sita ya ndoa............ sio kwa akili zetu wala uweza wetu ni neema tuu  ya Mungu inatupigania. 



 six years ago




 six years after

kama kawa tulikuwa mafichoni for a night...............

stay tune.......

6 comments:

  1. Hongereni wapendwa, Mungu azidi kuwasimamia mpaka muufikie uzee mkiwa na ndoa yenu.
    Mmependeza kweli!

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  2. DUUU hongereni sana sana na Mungu mwenyewe akazidi kujidhihilisha kwenye ndoa yenu upendo uzidi kutawala ndani yenu Mungu awabariki awalinde mkawaone wajukuu wa watoto zenu

    ReplyDelete
  3. Happy anniversary!

    ReplyDelete
  4. Hongereni sana Rose

    sijui ni ubize au ni nini watu huwa tarehe kama hizi zinapita bila kujua unakuja kumbuka cku zishaenda

    ila ni jambo zuri mfanyalo kupata maficho na kutafakali ya nyuma na kupanga ya mbele.

    Mbarikiwe

    ReplyDelete
  5. Mdumu ktk mapenzi na imani. Amina

    ReplyDelete