Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 20, 2014

TOFAUTI..................

Ngoja niwambie tofauti tuliyonayo ..................
Mungu wetu ni Mungu aliye hai,yaani ameshinda mauti  kwa maana nyingine alikufa na kufufuka na hii ndo maana kamili ya PASAKA!!!! Just incase huelewi maana!!!! au unasherekea kwa sababu watu wamesema usherekee.........

Tunapopita kipindi cha kujaribiwa imani,tunaujasiri maana tunaamini lipo tumaini............ Haijalishi limetukuta tukiwa tupo kwenye mstari ( kamsome Ayubu) au tumechepuka ( Mungu huadhibu na pia huturudia)(kamsome Daudi,wana waisraeli,...........) kikubwa ni lile TUMAINI . Hatuna sababu yakumplease mwanadam aliyeumbwa na huyu Mungu,wala miungu mfu  isiyokuwa na shukruni............. Acha kulaumu,acha kubebesha mizigo watu, wamekufanyia hivi na vile haihusu ndugu, wametumika kwani hujasoma Mungu kuna wakati alimpa Sauli moyo wa jiwe???? kila kitu kilichoruhusiwa kina sababu. acha kuchunguza chunguza Mambo ya Mungu hayachunguziki utapoteza Muda kama hunielewi Jiulize iliwezekanaje BIKIRA kawa na Mtoto, iliwezekanaje fipo ilipiga Bahari ikatawanyika, iliwezekana Daniel kamshinda Simba..... Utakuwa chizi mbona kama utatafuta hayo majibu. IMANI, IMANI, IMANI. kuza kiwango chako cha imani na JE KUNA NENO GANI GUMU ASILO LIWEZA???? YEYE ALIYESEMA ATAKUBARIKI, YUKO UPANDE WAKO,HATAKUACHA WALA KUKUPUNGUKIA.

Naona kama hunielewi?????
 nasisistiza,
 Amesema kaa mkono wangu wakuume hata niwawekapo adui chini ya miguu yako!!!!

acha kujisumbukia rafiki,yeye aliyeushinda ulimwengu atakushindia na hilo,mbona unakata tamaa,kiwango chako cha imani ki kwapi??mbona  unataka kufanana na asiyekuwa na tumaini??? unajua nini???? wewe ni full package ishi maisha yanayomfanya Mungu akajivunia ana mtoto  yuko Dunia.... no matter what she/he is still mine.  Nasema hivi MUNGU hawezi akakuacha ukaaibika  wewe ndo utakayeruhusu kuaiibika, yaani jaribu unalopitia sasa halibadilishi NENO LA MUNGU ila NENO LA MUNGU hubadilisha  jaribu unalolipitia. KULA NENO SHIBA NENO TAFAKARI NENO.

HAPPY EASTER


yote yalikwisha pale msalabani..........no kujisumbukia aiseee
Mke wa mwenyewe huyo
Mama wawili
nawapenda

1 comments:

  1. UMEPENDEZA HATARIIIIIIIII BI SHOSTI...BARIKIWA SANA KWA MANENO YA MUNGU YAMENITIA NGUVU SANA LEO

    ReplyDelete