Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 6, 2014

MY WAWILI....

Mpango wakupiga picha ulianza mara tu bidada kumvua  Baba yake kofia , nikamsikia Mumy look am matching!!!!  take me a photo........... mapozi ndo hayo


 mmmh!!! watoto wanakuwa nyie nikiangalia hii picha eti miaka mitano ishapita????


 na yeye huyo

 hivi  kuweka hivyo vidole maana yake nini???mshamba mie maana nisije nikawa naruhusu kumbe kuna maana sio nzuri.... hata sijui na wenyewe wamelipata wapi hili pozi....



Ahsante  Baba wa Rehema kwa ajili ya neema hii uliyotupa.

4 comments:

  1. Hongera kwa watoto wazuri hadi nawatamani. Mungu awalinde wazidi kuwa na afya bora. Naomba Mungu nami akanipe mume, akabariki tumbo la uzazi wangu.

    ReplyDelete
  2. Pendeza.wanangu.

    Pozi zamani ilikuwa alama ya amani ila kwa sasa eti mkazi wa kuzimu na wafuasi wake wameligeuza hivyo si amani tena. Kwa kufupi si zuri so.wakataze km unaweza

    ReplyDelete
  3. watoto wana mapozi ka mama yao wamekua na wamependeza sana. kweli ni jambo la neema na sifa na utukufu ni kwake yeye aliyeiumba dunia na vyote vilivyomo.

    ReplyDelete
  4. Alama hiyo inamana zifuatazo

    1. PEACE AND LOVE
    2. FREEMASON (ILLUMINAT) SIGN

    Inategemea inapotolewa ina maana gani. hao malaika wa mungu jamani ushetani wa wapi.

    Fanya utakavyoona inafaa.

    ReplyDelete