Pages

Ads 468x60px

Sunday, March 2, 2014

OUR LAST MORNING

Haya wandugu ni muda wakuaga haya maficho........ kiukweli na mshukuru Mungu umekuwa ni mda mzuri zaidi kwetu  tumepumzika,tumebond zaidi, tumekuwa na mda mwingi pamoja, kikubwa tumejitahidi hata maongezi yetu yasiwe ya mawazo sijui biashara zimeendaje, magumu tuliyopitia na mambo kama hayo kikubwa kilikuwa nikujisahaulisha na kuzifanya akili zetu zipumzike  hasa watoto you can feel wanavyo enjoy...... Careen asubuhi hii ameniambia Mumy why dont we stay here forever??(in her voice) nikamjibu vitu vingi vikiwa pamoja na unatakiwa uende shule,na sina hela yakukuweka hapa mda mrefu...... akanijibu Well you always go to work so you have money!!!! ( in her voice)   Hii imenisadia nikiwachukua shule nikija nao ofisini kwangu kwa mda wa masaa mawili yakumaliza kazi walifikia hatua wamechoka hawataki tena kuja ofisini  so ikabidi Mama mtu nifunguke kama hamniruhusu nisiende kazini sitakuwa na pesa za kuwatimizia mahitaji yenu, tangu niwambie hivyo hawanisumbue ila wanaamini kila wanachotaka kinachohitaji hela lazima tuwatimizie which is not true, i love them lakini sio kila kitu kilicho ndani ya uwezo wangu lazima wapate......... niko kwenye mpango wakufunguka na wao wajue pesa is not everything, kuna vitu vinaweza vikawa ndani ay uwezo wao lakini wakavikosa vile vile  kwa sababu sio muhimu kwao..............

 Mafichoni kwetu kwa mda wa siku nne

view ya  chumba 
bathroom


view ya sehem ya kupata mlo
Huyu ndo mwanangu mimi kila aingiapo lazima atoke na rafiki, ye akimuona mtu gafla utasikia i like your.........,what is your name, huwa hawezi kumpita mtu bila kumuuliza maswali au kumsifia
view ya nje
waone na majagi yao

haya wandugu nendeni mkabebe mabegi yenu muda wa humu ndani umekwisha.........

mpango wakuandaliwa gari na mtu wakuja kuchukua mabegi unaanza
 tupo tayari tunawasubiri mtu wakuja kubeba mabegi



 bye bye.....

 tunaendelea kusubiri the big boss kaangusha kwi! kwi! kwi!
 checking out



masaa 6 yakuendesha yanaaza hapa..............

8 comments:

  1. umenifurahisha kuniwekea hayo mapicha. wengine hatujawahi fika ulaya so mapicha kama haya ndo faraja yetu. uwe unatuwekea mapicha kadri uwezavyo. mimi penda familia yako much. kis kis

    ReplyDelete
  2. mimi nafanya kazi na wanaume tupu.wanasema mwanamke akifanya jambo utamjua tu eti sababu tunasema" nime" sasa nimekuwa sensitive na hilo neno jamani .Wewe unaonaje. Maana naona na wewe unalo sana.Tulipunguze? kwani vibaya kusema umefanyakitu wewe? wanaume apparently wanaona wamedhalilika.
    Mama watatu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli ma ikiwezekana liishe kabisa hakuna nime ndani ya ndoa ni tume

      Delete
  3. mtapona tu hakuna lisilowezekana maadamu mmegundua udhaifu ulipo basi ni muhimu kuchukua hatua kutoka nime na kuwa tume ............. hongereni sana mabinti zangu!

    ReplyDelete
  4. rose unanifundisha vitu vingi sana we hujui tu yaani unanirudisha darasa la kwanza kabisa nakupenda sana hata kama sikujui shule yako inanisaidia sana mimi ni mama wa miaka 59 imagine Mungu alivyo wa ajabu kweli hakuna kusema mimi ni mtu mzima na kudharau mtu uliyemzidi kwa mambo ya roho ni vyema kukubali kushuka na kufundishika asante sana shukurani zote zimwendee Mungu Muumba aliyenikutanisha na wewe kwa njia hii na kukutana na huduma ya ajabu japo kuwa yawezekana mwenyewe hujui umepewa nini asante! Endelea kunitoa shimoni!

    ReplyDelete
  5. My rosislay..ur not lucky. .ur blessed

    ReplyDelete
  6. Nimetamani nitaandaa mpango mkakati mwisho wa mwaka Mungu akipenda nijifiche sehemu

    ReplyDelete
  7. BWANA YESU AZIDI KUKUBARIKI MPKA BARAKA ZIJUE KUWA WEWE NI MBARIKIWA

    ReplyDelete