Pages

Ads 468x60px

Saturday, March 8, 2014

THE LOOK

Wandugu nimejikuta natamani niwe na hizi sketi kadhaa hasa kwa weather inayokuja ila ndo nazipata kwakuzibahatisha any link please zinakopatikana nahitaji kama tatu tena tofauti na nyeusi na hii hapa please...........

 it is all well with my soul , i surrender all to Almight God, the begining and the end....... kama yeye akiwa upande wako hakuna atakae zuia!!!!!

niende wapi mimi kama sio hekaluni mwa Bwana.........pata muonekano wangu wa kanisani
 eti hivi kumbe kulikuwa na women's day!!! poor me!!! labda kwa sababu kila siku kwangu ninasherekea kuitwa mwanamke... napenda majukumu yangu kama mke nakuyafurahia.Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha nakutojutia nafasi yangu........Nawapenda Wanawake wenzangu.

Beyou love yourself and enjoy role.............

MBARIKIWE

4 comments:

  1. umependeza sana mamy

    ReplyDelete
  2. pima kiuno na saiz unipe direction ya kukutumia mimi ntakushonea for free kuna fundi mmoja huku bongo anaitwa issa yuko fit sana kwa hizo makitu kitambaa,mashono juu yangu ila wewe sema tu ntakutumiaje?

    ReplyDelete
  3. Mama umependeza kwa kwel...na me nataka sket kama hyo mdau hapo juu hebu nielekeze na me kwa huyo fundi niende jaman

    ReplyDelete