Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 20, 2014

MAWAZO.........


Haya wandugu miezi mitatu ndo hiyo.......... nywele zetu zimekuwa msitu, sijielewi kote nataka....... kubaki hapa nilipo zinatakiwa zipunguzwe kidogo ili zikae vizuri, kama natakurudi kwenye kamchicha basi ndo niendelee miezi mingine mitatu naamini kamchicha katakuwepo....... Ki ukweli mwezenu mafuta yakupikia yamenikubali sana tuu,siumizi kichwa kabisa sijui wenzangu tulioanza pamoja umefikia wapi??? nimepitia baadhi ya picha nashawishika kurudi enzi hizo....... mpango ni no fake nikucheza nazo tuu nywele zangu na kubadilisha rangi.

 haya sasa mchicha 

v/s







mishikaki





wapi nigande???? sijielewi



8 comments:

  1. Nashauri, uzipunguze zinakuwa mishkaki ila uweke rangi nyekundu aka mishkaki myekundu

    ReplyDelete
  2. Best nakushauri ubaki na mishikaki/ Nywele zako hizo za rough dread, kwangu mimi naona ndo zinakutendea haki zaidi.
    Love you sana Mama wawili.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. baki kwenye mishikaki ndio unapendeza zaidi

    ReplyDelete
  4. Hata mi sielewa mana zote zakupendeza

    ReplyDelete
  5. mama wawili mi nimekupenda zaidi kwenye kipilipilil, for my opinion u look great with natural hair. salimia familia

    ReplyDelete
  6. Naipenda sana hiyo style ya mishkaki kwani inakutoa bomba sana.
    Mdau kutoka Moshi Kilimanjaro

    ReplyDelete
  7. MISHIKAKI MY DIA NDIO HABARI YA MUJINI

    ReplyDelete
  8. Ukiwa Na nywele ndefu unaonekana mkomavu hupendez kbs, fupi zinakufanya uonekane mzuri

    ReplyDelete