Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 17, 2013

MAMA WAWILI


Ninachoweza kusema namshukuru sana MUNGU kwa ajili yenu wadau wangu..... Humu ndani kuna vichwa vyenye hekima mpaka namshangaa Mungu, mbarikiwe mnooooo..........kwa kweli hasa kwenye ile topic  kwa kweli mpaka nimeshindwa niongeze nini maana kila kitu mmegusa......... mnisamehe kwa wale ambao sijaachilia comment zetu nyingi zenu zilikuwa wazi sana kiasi kwamba kama muhusika anasoma atajua kabisa huyu ni mke wangu kaandika ha!ha!haaa! naogopa kuleta majanga kwenye ndoa za watu........ na nyingine Lugha  iliyotumika  mmmh!!.

kwa zile comment chache bila shaka muhusika umeilewa nini tatizo na wapi pakurekebisha. LANGU LAKUONGEZA  NI HILI

jamani huu utaratibu wakunirudisha kwa wazazi wakanifundishe mie siuelewi kabisa kwanza naona hata aibu..... mwenzeko wazazi mpaka wakanikabidhi kwako inamaana kiwango chao ndo kilipoishia hayo mengine ndio maana tuliapa katika raha na shida.......... sasa mwenzangu situyamalize wenyewe NDOA ni ya kwetu  ngoja basi tuwape na hao wazazi break wandugu...... ndio maana  maandiko yanasema WANAUME KAENI KWA AKILI NA WAKE ZENU, NA WANAWAKE WATIINI WAUME ZENU. kila mtu asimame kwa nafasi yake tukiona ndivyo sivyo ndugu maombi ndo msaada pekee kutufanya tupondeke na kurudi kwenye mstari...........wapi paliposema mrudishe mkeo kwa wazazi????? labda mimi  sielewi!!!  

Haya tumalizie na muonekano

IGNORE HAKO KAMKANDA KEUPE MKONONI MWENZIO HIYO ILIKUWA TICKET YA NILIKOTOKA
HERSELF

3 comments:

  1. Mimi niliyeleta mada naomba niwashukuru wote kwa msaada wa mawazo mlionipa.Nilishaanza kuyafanyia kazi.JKwa mfano juzi tu vitu vilikuwavimepungua ndani nikafata ushauri wenu nikamtaarifu kuwa baba tumepungukiwa hiki na hiki tukaletewa maziwa lita kumi (duh!) among other things Kusema kweli.Moyo wangu ulishakuwa baridi sana kutokana na maneno makali niliokuwa naambiwa ambayo niliona naonewa,kiasi cha kwamba nilianza kutomfeel kabisa Mume wangu and I was ready to go home..Nnamuomba Mungu na he is working on me taratibu naanza kumueleza feelings zangu .Naamini tutafika.Mbarikiwe sana wake wema.
    From
    Mke mwema in the making.

    ReplyDelete
  2. Amen! Amen!!
    Happy to hear!!
    Mimi ndo wa kutobishana na mume kana shirt ni ya black au navy blue.
    I feel as if I know you already and I want the best for you!
    From one mke mwema in the making to another, God bless you abundantly!!
    Will carry you in my prayers too!!

    ReplyDelete
  3. madau mleta mada, your feedback inatia moyo!! ubarikiwe mpenzi!!

    ReplyDelete