Pages

Ads 468x60px

Thursday, December 5, 2013

HAPPY BELATED 8TH ANNIVERSARY MR & MRS KAKWAYA




 napenda kuwaita Mumy na Dad yangu........... kuna kajihistory hapa kananikumbusha tulikotoka (dar mpaka Moro ha! ha! ha!)
miaka 8 tayari mbona kama jana???? duuu soon mtaitwa vijana wa zamani

nawapenda mno ...................Mungu azidi kuwatetea na kuwapigania.

2 comments:

  1. namuona my wifi,hongera sana

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana walipendeza sana naona bi harusi kimodel haswa, ungeweka sasa za saa hivi na za 8 years ila nimependa pia suits za groom na best man

    ReplyDelete