Pages

Ads 468x60px

Sunday, December 15, 2013

MUONEKANO..........

THE JOY OF THE LORD IS MY STRENGTH................. Hiyo ndio siri kubwa ya mama wawili, si kwa akili zangu wala uweza bali ni kwa ajili ya huyu aliyenifia msalabani............... anipaye amani na furaha, aponyaye majeraha yangu aniketishae na wakuu, aiseee!!!!! ni ninamengi mnoo yakumrudishia Mungu utukufu
 Angalizo: unapoandaa vita na mimi usiangalie hako kamwili aisee....... ki ukweli mi hata kukunja ngumi siwezi kwanza huwa na kimbia nikijua kuna kipondo cha mwili  mbona utanihurumia!!!some of you mnanielewa kwi! kwi! kwi!........ila neno moja tuu nalijua VITA NILIVYONAVYO NI VYA MUNGU........
 BE YOURSELF NDO MPANGO ili upate kutimiza kusudi na mpango wa MUNGU
MBARIKIWE WANDUGU..........TUSISAHAU KUCHANGIA HIYO TOPIC ILIYOPITA WAPENDWA NA ROHO ZETU TUPONE. MI NTAZUNGUMZA YANGU KWENYE TOPIC YATUZUNGUMZE

1 comments:

  1. ukweli wa mambo mimi huwa si comment japo kila siku lazima nipite hapa kusoma commen siku zote unapendezaga, lakini leo hii white imekupendeza sana nguo yako umepangia vizuri sana ubarikiwe sana nakupenda pia maana unahofu ya Mungu

    ReplyDelete