Pages

Ads 468x60px

Friday, December 13, 2013

BASI SAWA NGOJA TUIMBE..............................


Nimejikuta leo nipo busy na huyu bidada huwa ananifurahisha sana hasa nikiwa najisikia kucheka huku na msifu Bwana.................. anahuduma fulani hivi lazima uwe umekomaa kumuelewa


kama ingekuwa Topic yatuzungumze huu wimbo umejitosheleza wapendwa........  mi napenda kuambiwa kinamna hii bila kuzungusha zungusha ujumbe na maneno yakubembelezwa yasiyonisaidia  maana by the nakuja  kujua maana too late....................
 kweli duniani hakuna wembamba jamani duu


hapa ndo kanimaliza kabisa  mpaka nimejicheka wapendwa hii video ikitoka naomba niione aisee maana siipatii picha...............

 nimemalizia na huyu Mama hapa Mama wakuabudu
muwe na week njema wapendwa

1 comments:

  1. mama wawili nimekutumia email naomba uiweke wadau wanisaidie ukiongozwa na wewe mwenyewe.Plse nimebanwa mwenzio

    ReplyDelete