Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 18, 2014

THE LOOK..................

Pata muonekano wa moja wakaji outing  ya birthday girl.........        wanasema dalili moja ya ukubwa nikupenda rangi nyeupe kama kweli basi nimo  mapenzi ya white naona yamechukua nafasi kumoyo kwangu siku hizi..........
mimi hapa

Nimetoka kuangalia kansiime clip yake moja anasema yeye ana mguu haangaiki kuonyesha ila sie wenye fimbo full kutembea uchi ha!ha!ha! ntashare hiyo clip  this week....




Haya nawapenda......


5 comments:

  1. Happy birthday to you dia

    ReplyDelete
  2. Happy birthday to you dia

    ReplyDelete
  3. Happy birthday to you dia

    ReplyDelete
  4. Mama wawili umependeza sana sana, naomba hivo viatu mweh! Naomba Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha!


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete