Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 6, 2014

THE LOOK...................


Nyie mwenzenu kuna kitu natamani mnoo nikizungumzie......... ila sema ndo hivyo najitahidi sana nisizungumze kwa sababu tu nimehisi,nimeona,au wakati mwingine huwa kinatakiwa kiishie kwangu mwenyewe sio lazima niwarushie si mnajua mapokeo huwa tofauti????  ila kikiendelea kukaa kichwani kesho nakizungumza........ Si mnanijua mi sipendagi masumbuko ya moyo kama nasumbuka huwa najitahidi sana kukipotezea nikiona kila nikijaribu kukipotezea bado kinakuja zaidi  na kinanifanya nijipe muda wakukitafakari basi huwa naruhusu  kukitafakari halafu namalizia kwakuzungumza ili nifunge ukurasa kabisaaaaa....


Haya  ndo muonage the look kabla gym haijatutengeneza mapaja kama Serena Ha!ha!ha!(sio mimi mdau wangu kanipa hiyo) vinginevyo lawama tutampa model wetu Flaviana lazima atakuwa ametulisha sumu!!! SIO MIMI WANDUGU mi nimekuwa inspired tuu .......Kwi!kwi!kwi!

usinione hivi no pumzi lege lege ila sasa niambie nisugue Gari wee utajuta chezea $$$$$ wewe?????




Nawapenda

3 comments:

  1. nakisubiri kwa hamu ! ....ila umenichekesha eti ukiambiwa usugue gari he he he he!

    ReplyDelete
  2. Mama wawili unavituko ahaaaa...haya ubarikiwe

    ReplyDelete