Pages

Ads 468x60px

Monday, November 17, 2014

HAPPY BIRTHDAY TO MAMA WAWILI.........

Wandugu mwezenu leo  ngoma 31 imeingi duuu!!!! kweli siku hazigandi.........utoto wote tupa kule, mkiona narudia  nafanya mambo ya kitoto humu ndani, mjue kuna stage sikuitendea haki mweee!!!!! (mnaruhusiwa kunikosoa ila, iwage kimtindo fulani mwenzenu kha!!! isiwe ndo kama mmepata sababu. Simnajua mtu unakuwa kama unamchukia mtu halafu wewe mwenyewe hujielewi kwa nini unamchukia ikipatikana sababu duu!! mbona atajuta!!! Ha!ha!ha!ha!)Usione watu mitandaoni tunafanya mambo kama hatujielewi wandugu stage!!!! hakuna kitu kibaya kama kuruka stage....... hasa kina sie tuliojitokea mashambani huko nyie acheni tuu ni sheeeder!!!!!

Anyway way am blessed kwa kweli   Tangu last weekend nasherekeshwa tuu, mazawadi, mawishes,mavyakula sasa aisee!!! zile kilo lazima ziwe zimepatikana kama bado ntaandamana aiseee!!!

Ntawarushia Muonekano waviji outing vyangu............  Bila kusahau Kumshukuru Mungu kwa ajili ya huyu Mwanaume hapa jamani ...................mambo mengine ya kichumbani zaidi lakini duuu!!! am blessed Ahsante Mungu .................Yaani ndugu zangu kama huwa mnaniombea huko please niombeeni niwe best wife (mke mwema)  tuu na mengine yatafuata.......


Nawapenda.......



















3 comments:

  1. Happy birthday mama wawili Mwenyezi Mungu akutunze na kukubariki siku zote za maisha yako

    ReplyDelete
  2. Happy birthday mama wawili. Mungu akupe afya njema na maisha marefu yenye mafanikio tele!

    ReplyDelete
  3. Happy birthday Mama wawili,

    kwa kua tamanio lako ni kua mke mwema basi Mungu wetu na afanye hivyo

    ReplyDelete