Pages

Ads 468x60px

Wednesday, November 19, 2014

MAMA WAWILI.........



Sasa hizi nywele tunafanyaje sasa khaa!!! nazipenda ila natamani new look japo ya wiki mbili tatu eti eeeh!!!! 



mapozi sio mengi nisije nikamwaga radhi  ha!ha!ha!

mazoezi yanaendelea mjue!!!!ila kumbe kweli yanahitaji commitment ya hatariiii.... mmmh!!! na mabox nayo balaa

Kwa heri basi.

2 comments:

  1. umependeza sana hiyo pochi nimeipenda ukinigaia nitafurahije

    ReplyDelete
  2. Niseme nini tena? Unajua kuwa peplum dresses zinakutoa kinyama? Dada you look super cute...afu hizo nywele ndo habari ya mujini ujuwe!! "hhahahaha in your voice"
    Ziache kama zilivyo pls zinakutendea haki sana.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete