Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 27, 2014

ENZI ZA MWALIMU VS ENZI ZA SASA..............


 Hapo chacha raha ya picha kumbukumbu badala ya kupost nimeanza kujichungulia weee nikaamua niwashirikishe........Ha!ha!ha!
 Naona hapa niliambiwa niringe mtoto wa kike
Hapa sijui ilikuwa nakimbia au ndo mapozi

hapa ilikuwa mambo ya kimiss miss ha!ha!ha!

nimeboba kihehe chezea mimi nyie....

Mdau wewe ndo umenifanya nikaitafute hii picha ndo na nyingine zooote zikafanyika post Ha!ha!ha!





 Zifuatazo ni zama za sasa

 Kabby kake Slay hako






 miondoko sasa



Nimemiss mnyama duu hichi kiatu ndo itakuwa habari za hivi karibuni duu nilikisahau eti......








yaani hizi ni juzi juzi tuuu

Nawapendaaaaaa

2 comments:

  1. Umependeza sana kila picha ina mvuto. ndio hivyo nishakushauri ukitaka kubadilisha muonekano weka hiyo zilipendwa ukichoka rudia hizo mpya.

    ReplyDelete
  2. Uwiiiii da rose fanya utokee mitaa hii nnakumiss too much

    ReplyDelete