Pages

Ads 468x60px

Monday, November 3, 2014

NIPOGO.........

Niaje wapendwa wangu???Bila shaka utukufu wa Bwana umewafunika na mnaendelea kupambana kwa namna tofauti......Kikubwa be yourself yaani katika kila kitu..... Usisononeke,usijikunyate, usijutie ila jifunze kupitia,Bado hujachelewa, Wakati ndio huu,Pondeka mbele za Bwana,Nasema hivi mkabidhi Bwana.............................

Basi sawa tuendeleee
Huyu hapa eti Mama wa nani????
Duu kumbe huwa naweza kutabasamu eti eeh???

Anatafakari nini???

Haya Nawapenda mnooo.....

Mbarikiwe

1 comments: