Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 29, 2014

NIMEPENDEZA EEH!!!!

Ha!ha!ha!  nyie hata msiponisifia mimi ndo nishajisifia ............. Do you want the look?????  go follow akailatailors  on Instagram............ hutajuta  popote ulipo atakutimizia hitaji lako simmeona wenyewe??? nimefanya kumtumia vipimo tuu hajafanya kosa kitu kimekaa mahala pake....... Wachache sana aisee kama hawa kama huniamini uliza wapenzi wakushona nguo watakwambia fundi nguo ni nomaaa..............
 mimi huwa namwita kiranja mkuu  huko kwenye kijiwe chetu......
Mama umetisha!!! Ahsante mnoo Am a happy happy customer............Pongezi nyingi kutoka kwa Baba watoto pia



kwenye Matukio ya picha huwa hawakosekani ha!ha!ha!

Tunawapenda.

3 comments:

  1. umependeza kweli na watoto wako pia

    ReplyDelete
  2. iseeee umependeza mno hasa picha ya mwisho the shoe mbarikiwe,

    ReplyDelete
  3. iseeee umependeza mno hasa picha ya mwisho the shoe mbarikiwe,

    ReplyDelete