Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 28, 2014

TOTOZ DAY............

jamani hii kama week imepita  nimezipitia nikazipenda tuu, ukizingatia alhamisi!! yeah!!! TBT  ndo mpango..........

Niko na Dada wa mimi,shoga ake, makubwa, ................ majina yote yake aiseee. Halafu nyie simnajua kuna mahali huwa kuna watu wanatumika kwenye maisha yako? kuna wakati huwa wanajitambua na wakati hawajitambui. na ule uthamani wa lile tendo uliotendewe wewe ndo huwa unalijua kuliko yule aliyekutendea......... mara nyingi ni fumbo wakati linatendeka, huwa linatoa mapungufu yoteya kibinadamu  kiburi, jeuri, sifa ,...............na hapa ndipo huwa tunapata marafiki,ndugu katika bwana,.................. Pamoja na matokeo hayo yote mazuri yakumrudishia Mungu utukufu, Shetani naye huwa anaitumia hii nafasi inaweza kuzaa uadui mkubwa mnoooo..... ambao unatokana na labda yule aliyetumika ameanza kujiinua anataka kutukuzwa kwa lile alilotumika bila kujua haikuwa kwa akili zake,au labda yule aliyesaidiwa ameanza kujistukia nakutaka kujionesha kwamba sasa anaweza( hunibabaishi)............ kitu ambacho si vibaya ila tu ni ile namna anavyokiweka

HUYU DADA KANITOA MATONGOTONGO ULAYA, HUWA NAMSHUKURU MUNGU MNOOO KWA ILE NAFASI ALIYOTUMIKA AISEEEE!!!! 

Samahani mwee simnanijua nikianza kuweka mafeeling nini siwezi kujizuia ???? haya tuendeleee

tulienda zoo kushangaa wanyama

watu wanavyomchukuza huyo mjomba  mmmh!!!

 huyu jamaa nahisi alikuwa anatutamani alivyokuwa anahangaika nilihisi atabomoa kioo



full kushangaa uumbaji wa Mungu
washamba wengi eeeh!!!


Jolamu ndo nini bwana hebu toa upako hapo you never know tunaweza kushawshika kupiga no. 3 kwi! kwi! kwi!


sisi hapa
]
nyie kumbe kuna makobe makubwaa hivi

the team



nimechoka wandugu inatosha eeeh!!!

No comments:

Post a Comment