Pages

Ads 468x60px

Monday, August 4, 2014

MAMA WAWILI.............

Nyie mwenzenu mniruhusu niseme japo kiduchuuuuuu kwa habari ya Hotuba ya muheshimiwa JK........... naisikiliza weeeee najikuta kuna haja ya kusema yaani nikikosa amani mpaka kesho mtanisamehe siko kisiasa sanaaaa ila na heshimu swala zima la wakuu wa nchi pamoja na changamoto zooote.......

 haya pata muonekano wa Mama ya CC.


muke yake
nimesmile hapo ujue!!!
spotted akijirekebisha.

 Nawapenda

1 comments:

  1. Umenichekesha uje......ahahahaha mama wawili bana eti 'nimesmile uje!! lol
    Pendeza as always.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete