Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 13, 2014

BETSY'S KITCHEN PARTY...............

Wandugu hizi sio official picha za shughuli yenyewe , si mnajua tena Camera ya Mama wawili kutulia ndani ya begi haiwezi!!!!  kwi! kwi! kwi!
Wakiwa na mtarajiwa


huku nako Be Africa ilileta sheeeder!!
ila nyie warembo.....

Mona & Diane
  mwenyewe huyo sasa ukitaka kumjua nenda kwa facebook page  BE AFRICA utajua anafanya nini.

Mona &Lilian
Esther,Neema & Sarah

mnajua nawapenda eti eeeh!!!

Casta,Mona &Diane

happy people


Lilian,Lemi,Casta,Olga,Mona,Diane & Jesca


warembo eeeh!!!
Neema,A Friend & Mona

Pendo & Esther

Mama wa Mazingira tulikuelewa mnooo!!!

Pendo & Fortunate aka Ma mkubwa

 nimeona nikupendele ukiona hivyo somo nililielewa mnoo Ha!Ha!ha!
Prisca & Jane

 Sally aka Jembe langu au Mama wa shughuli



Naomba niishie na warembo hawa...... Picha ni nyingiiii siwezi kuzipost zote otherwise shughuli ilifana mnooo!!!

No comments:

Post a Comment