Pages

Ads 468x60px

Friday, August 1, 2014

MY NUMBER ONE!!!!


Jamani nimekuja kubloguka nimekutana na huyu mtu nimeanza kumsikiliza nakunogewa haya na nyinyi mfaidi basi..... nilikuwa sijui kama hizi nyimbo mpya zina video aiseeee!!! huwa ananibariki sana he so real!!!!  He is my no. one tangu enzi hizoooooo.

Ila angalizo kidogo nyimbo zake unatakiwa uwe kimkao fulani hivi,(nashindwa kuielezea ilausiwe kwenye  zile huruma,unyonge kukata tamaa fulani,...... just be humble to God na sivinginevyo) yaani hata kama unapitia mambo fulani uwe mmeshakaa mkao wakuamini inawezekana na uko kwenye mkao wakusubiri muda ulioruhusiwa............... otherwise utajikuta unanung'unika mnooo na kuliaaaaaa mwisho wa siku makelele.  Sikiliza halafu uwe kama uko kwenye mazungumzo  huku ukijidai unae wakumdekea eti ......



koo langu limekauka, maji, juice na soda havipozi koo Kwi! kwi! Kwi!
 huo mdundo aliomalizia YESUUU,uje ,Babaa uje Jamani kwa Yesu kuna raha nyieeeeeee



nampenda mke wake jamani, unamuona tuu alivyopondeka i wish aiseee


Ze boss sasa amenifurahishaje maongezi na mikono  Kwi! kwi! kwi! Abiudi Bwana eti hata kande utakosa !!!!

 

No comments:

Post a Comment