Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 12, 2014

LA FAMILIA............

Haya wenzenu tulipata sababu ya kwenda mujini, si mnamjua Mama wawili kwa vishuguli???(Ahsante Bibi Harusi mtarajiwa kwa kutupa sababu)


tuljificha humu ndani, na mawazo ya meanza maana ni muda wakubeba vifurushi vyetu mweee!!!

Wanangu  nao  hamu haikuwaisha eti Mumy we should stay for two more night i like our new house (in Christabell voice) kwi! kwi! kwi! na mwingine mda wa breakfast kaniambia Mumy you should cook all this food at home so we can choose what we want like here........!!!! naona aliwaza ile asubuhi  siku za shule cereal or porridge hakuna kuchagua na lazima kiishe kwa kugombana ( utoto raha nyie)


Behind the smile kwi! kwi! kwi! 
anyway, 

Ahsante Mume wa mimi kwakuacha vyote kumsindikiza mkeo, hujawahi kuniangusha kwa vitu kama hizi............ it means alot to me!!! we hujui tuu yaani.....( just incase umenisoma mambo mengine kumwambia usoni sijui magumu au aibu,au ndo kiburi mi hata sijielewi eti wanawake wenzangu haka kasekta kamekaaje???)
 nini kwani ukifika mjini ni full kushangaa magorofa kwi! kwi! kwi!

na mashopping yakaanza wengine tunafanya yetu
Camera girl wetu alikuwa Christabell sasa kwenye hilo pozi hapo juu sijui kaona wivu huyo mbio kumwita Baba yake aje na yeye apigwe same pose.......Raha hee napendwaje nawanangu!!!

 Haya nenda kachukue Camera Dad aendelee kufanya yake mgomo Mumy its Careen's  turn............

Kameridhika sasa
Tumemaliza kuna huyo Dada alikuwa anatuangalia tunavyofanya yetu,nikawa simuelewi  lakini nilimpotezea ile tumemaliza kila kitu katufata katuuliza aliyotaka kuuliza na kumalizia niwachukue picha ya familia ???faster kama ulijua nahitaji  mtu wakupiga mtu nne. (kimoyoni moyoni)

THE END


2 comments:

  1. Penda nyie sana....wanao wamekua shost!!


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  2. Mungu awabariki sana,such a happy family. Pray u get a baby boy!!!

    ReplyDelete