Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 7, 2014

NIMEKUTANA NAYO..............



Nimecheka mpaka uchovu  umenisha.......... Ina maana  upendwa huwa tunafanya tukiwa na majangazi tuuu????  Tukibarikiwa tunajiinua na kusahau kama tulichonacho ni kwa sasa ni neema?????? Ki ukweli vitu kama hii vinachekesha ukisoma lakini vinatukumbusha  kitu............Tafakari mpendwa na tujichunguze nakujifunza.

Nimefanya kucopy na kupaste credit to Masanja Mkandamizaji

Binadamu bwana, Mungu akimbariki akawa anapata riziki kidogo tu anaanza kujisahau. Kwenye mitandao ya kijamii utaona anatupia status kama hizi:

1. I don't give a damn!

2. Just chilling somewhere havin fun!

3. Copy my motion! Catch me if you can losers!

4. Lets party, life is too short!

5. At Mlimani city enjoying life! Kifuatacho ni kwenye masinema Quality Center! YOLO!

6. Dinner at Samakisamaki na watu wangu wa nguvu!

7. At Hotel Kempinski nakula ujana. Go and announce me! (Kantangaze)

Sasa ngoja aishiwe mwanawane kasalio kakate. Status zinabadilika anaanza kutupia kama hizi:

1. God I know you see me!

2. God will make a way!

3. I love my friends. Thank God for these friends. (ili akope)

4. Mungu tazama mja wako!

5. Mungu najua haya yote ni mapito tu.

Jamani, usimtafute Mungu wakati wa shida tu. Mtafuteni Mungu siku zote!!

No comments:

Post a Comment