Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 26, 2014

MAMA WAWILI.........

Wahehe tunaita mnyela mumo........ sijui wenzetu mnaitaje??? mbaya ujikute uko kwenye choo cha foleni ukitoka watu watakuwa wamenunaje??? maana kuitoa kama unaingia kuoga vile..... ... ama kweli fashion gharama eti eeh!!!

Nimemkumbuka na Mama yangu angechekaje sasa kuniona na hili vazi na hicho kitambaa chake kilivyo mtepete simpatii picha.....
last weekend kiua mpaka kilitubu simnanijua nikiifumania style???

Mama yao anawapenda munoooo......

5 comments:

  1. I'm back,that's what I'm talking about.huu ndo ulokole wa kisasa.huu sio mfano tunaotegemea kwa jamii.

    ReplyDelete
  2. wewe AnonymousAugust 27, 2014 at 10:57 AM, hebu tutolee unoko wako hapa kwani nani kakuambia mlokole hatakiwi kupendeza....hebu tupe shahidi toka maandiko matakatifu kwa vazi hilo amekosea nini? bibi wewe, tupishe sisi. personality ya mtu moyoni, nje huwezi ambulia kitu mana PRETENDERS WENGI. Rose umependdeza mamii..achana na wosha vinywa, yani kutwa mtu anatafuta kasoro akutoe, jamani, cillaz..maisha yenye haya mafupi, tupendane. BE YOU ROSE...KAMA JINA LA BLOG YAKO.

    ReplyDelete
  3. anony umedodaje shoga... kwikwikwi

    ReplyDelete
  4. ha ha ha ha ha rose we ni shidaaaah ha ha ha ha mwenyewe umemjibu kwa upole eti ulikua wapi karibu ha ha ha ha ha nimecheka hadi machozi!

    ReplyDelete