Pages

Ads 468x60px

Monday, August 25, 2014

MAMA NA MWANA..................

Church look , sikujua kama na mwanangu kidogo tumematch mpaka mwenyewe niko kwenye Gari nasikia anamwambia Dada yake mimi na Mama leo tumevaa sare ndo ile kustuka kajicolour na material ya top yake somehow tumematch Kwi!Kwi!kwi! aisee kila aliyempa dakika kadhaa moja ya maongezi ilikuwa ni hiyo....................
Nyie kila mtoto ana historia yake aisee haka kakwangu kamenifundisha Umama ugenini mweeee!!!!! (wale mlionilelea Careen kama nawaona vile mnavyocheka huko maana hata kumpa chupa mtoto nilikuwa sijui mweee!!!) nasema hivi ngoma ya tatu nahisi mtanipokea tuuuu!!!
Priceless..........
kaone kwanza Sina chakumrudishia Mungu aiseee kwa Wawili wangu mweeee!!! ni kwa NEEMA!!!

6 comments:

  1. Unakashepu kazuri jmn hadi raha hongera kwhlo mpenzi n sifa n utukufu n kwa MUNGU aliyekuumba............

    ReplyDelete
  2. Umependeza sana na mwanao!


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. umependeza mnyalu na mwanao mbona mwingine hakutokea kwenye picha, God protect your family.

    ReplyDelete
  4. Napenda sana lifestyle yako. Unafanya diet kucontrol mwili wako ama? Unashape nzuri utadhan hujazaa

    ReplyDelete