Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 20, 2014

CONGRATULATIONS MR &MRS R.MUSTAFA..........

Wandugu Camera ya Mama wawili ilivamia tuu, haikualikwa  si mnajua huwa haiwezi kutulia??? Angalia matukio iliyofanikiwa kuyapata..........

 Kwa ujumla Shughuli ilinoga mnooooooo 

Sasa wanaitwa Mr & Mrs R.Mustafa...... Duuuuu!!! nimefurahije sasa?? yaani nahisi nilikuwa nawakera maana, kila nikikutana nao wakinipa dakika kadhaa  za maongezi lazima niwapige swali MNASUBIRI NINI??? Hatimaye yamekuwa........

Wifi yetu sie,Muke ya Barrick........alifunika aisee!!!
Mr & Mrs Mjema
Dad yake nani?? na Shemeji yake nani??
haya nyie full kudekezana....(Mr & Mrs Hassan)

Mr & Mrs H.Chaburuma
napita kimya kimya kuna shemeji pembeni


Hapo chacha !!! Ni Mr&Mrs ..........

Boss wangu unadeka eeeh!!!

waone kwanza (nawapendaaaaa)

ni sheeder!!!!


 The Majige's...........

hawa hapa chacha nawasubirije???Kwi!kwi!kwi!(mnanielewa eti eeh??)

umenoga jamani

friends

Esther &Georgina

Sarah & Ummy

Ummy & Neema

ni spotted au pozi kweli ?? mmependa mnooo!!

Dogo letu sie akiwa na Madada zake (karembo eeeh)
The woman behind the Camera akiwa na Baba watoto

1 comments: