Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 30, 2014

MAMA WAWILI

Ishawahi kukukuta umealikwa kwenye ka event, kama bby shower, mwenyewe umejiandaa kipink pink (nimekariri kwa sababu ninao mabinti tu) masaa machache unagundua ni bby boy na closet haina colour ya kibby boy na kama ipo hali ya hewa imegoma kukuruhusu kuvaa hiyo nguo???

 ndo yaliyonikuta mwenzenu, huo mchomekeo wa kibibi bibi ndo ulikuwa only option na hiyo skirt ndo kidogo ilikuwa imepoa katika zoooote ili iendane na kishughuli kwi! kwi! kwi!


bora kuliko ningevamia kipink pink siningefukuzwa???
ready to go......
naringaje sasa????
penda nyie mnoooo

1 comments:

  1. pendeza sana! ila hizo skirt tulioko afrika tunazipataje, hebu share nasi maujanja! maana mimi binafsi nazitaka sana!

    ReplyDelete