Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 9, 2014



Haya wandugu wiki hii tutazungumzia ULOKOLE na Mama wawili anavyouelewa.........  hii ni kutokana na wengi mmenitaka nifanye hivyo japo namawazo kidogo.... ni kweli na ruhusiwa kuuzungumzia?? mapokeo yake yatajenga au kubomoa??  nitawezaje kulileta likapokelewa kama vile linavyotakiwa kupokelewa???  

Kazi kwenu wana maombi piga upofu kwa yule asiekusudiwa,zibua masikio ya rohoni kwa aliyekusudiwa apate kuelewa............. zaidi ikalete ufahamu ndani yao.

Tusindikizwe na wimbo huu



1 comments: