Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 16, 2014

MAMA WAWILI

Nipogo wandugu.......

 Huu unyayo bwana wa mwenyewe CL(ukibisha  ntakuletea risit ujue???ha! ha! ha!) halafu ndo sijamvaa ki hivyo hebu angalia sasa alivyoanza kunikataa ,anakunjika hapo mbele halafu ameanza kuniumiza fulani hapo kwenye mkunjo  sasa sijui ndo guu la muosha magari limekomaa au na wenyewe siku zingine wanatufekilisha?? au nimekariri jina kubwa haongopi?? wenye $$$ za mawazo utatujua tuu kwi! kwi! kwi!
a.k.a Rose wa mbeyela
NAWAPENDA MNOOOO

3 comments:

  1. umependeza mamy nigaie hizo CL kama zimekubana lol

    ReplyDelete
  2. Na mm jamani ma wa2 tupia tu huku

    ReplyDelete
  3. Jamani mama wawili sometimes huwa unanifurahisha ha ha haaaaa hapo roho inakuuma hatari unatamani ukutane na CL mwenyewe umuulize hii ndo nn? Mbona kinajikunja ha ha haaaaa yani nakupenda mama wawili

    ReplyDelete